Chereads / MALAIKA WA UPENDO / Chapter 1 - SEHEMU YA KWANZA

MALAIKA WA UPENDO

🇹🇿Salvatory
  • --
    chs / week
  • --
    NOT RATINGS
  • 24.1k
    Views
Synopsis

Chapter 1 - SEHEMU YA KWANZA

Saa kumi jioni Wadhati anarejea kutoka shule Kisha akapata chakula, lakini siku hiyo alionekana kutokuwa mchangamfu na mwenyewe furaha Kama sikuzingine, "Nashindwa kuelewa nikwanini inakuwa hivi leo Ni siku ya tano. Kila nikimuangalia Joyce Moyo wangu hautulii mapigo ya moyo yanaenda tofauti, filigisi na maini tumboni havina ushirikiano kabisa nahisi kijasho Cha aina yake kinaniandama. Oh my God what is this?!.

Juzi mida ya jioni wakiwa discassion darasani, Joyce alikuwa amekaa vibaya bila kujitambua, Upaja wake mweupe ulikuwa ukipulizwa na upepo, vifungo vyake viwili vya Shati alikuwa kaviacha wazi akijipepea na reso yake, hivyo nyonyo zake zilizo simama ka embe dodo changa mtini zilkua zikionekana bila ya yeye kujua. Wape salamu zao mwali kigori mama niache kwanza, wooow! Kumbe hizi vitu zinakuwaga poah hivi, wadhati alisismka na kuanza kula kwa macho, alishindwa kabisa kujizuia na kuendelea kupiga chabo kwa Joyce, ili asigundulike akaamua kutumia sitairi ya kujinyoosha mikono juu ili aendelee kupiga chabo vizuri. Ghafla Joyce akamshitukia "Mh, mbona Wadhati anatazama Sana kwangu kulikoni? Alivojiangalia akagundua alikuwa amekaa vibaya Oh, sheet! Mh..mh..mh, kumbe ndiyo maana. akijisemea mwenyew huku akitikisa kichwa" Joyce akapandwa na hasira, Wadhati kwa aibu akatoka nje..

Duh! amegundua nilikuwa bize namchunguria mamaa eeh, ngoja misubiri madongo yanayofata hapa. Hiyo siku ikapita Wadhati hakuweza kabisa kurudi kwenye discassion darasani na kuamua kurudi nyumbani angalau ifutike ile aibu.