""Natumaini U, mzima wa afya Joyce,. Awali ya yote kwanza naomba samahi Kama nitakuwa nimekukwaza. Najua utashangaa Ni kwanini,Ila plz.!, Nakuomba uyapokee haya machache ya moyoni. Nimeshindwa kuvumilia Joyce, Kama Ni maji yamefika shingoni, natapatapa Kama mfa maji katikati ya dimbwi la huba na mapenzi, nitakufa kwa stress kilanga komo, mwenzako usiku silali nakuwaza, Moyo wangu umekufa na kuoza kwako, hapa nakusubiri uje kuzika, Nimetokea kukupenda kwa dhati sijui Ni kwanini Ila nakuomba uzipokee hisia zangu kwako unifanyie wepesi ili nami niwe na furaha maishani mwangu. Najua huwezi amini imekuwa haraka kiasi hiki Ila tambua tu,.Kama Ni gonjwa limepata mponyaji we kwangu dira njoo unioneshe njia. Tazama nimepiga goti mbele yakona Ua la upendo mikononi mwangu nikilia ka, mtoto mdogo, plz..! Come on, nakpenda Joyce nimeshindwa kuvumilia moyo wangu unauma Sana, usipuuze tafadhari I LOVE U SOMUCH.
By Wadhati wa Moyo..!
Joyce hakuridhika akarudia tena kuisoma ile barua Mara tatu akiwa haamini anachokiona "Mmh.. huyu Wadhati ninae mjua Mimi? au? mmh haya maneno Katoa wapi? Au kaandikiwa na rafiki ake Jamari nini,.Oh my God! Sa mie sijui nitamjibu nini.
Kesho yake Joyce hakwenda shule kwa kisingzio anaumwa ili tu apate mda mzuri wa kujifkria, alijihisi kuchanganyikiwa kwa mda. Shuleni Wadhati anashangaa kutokumuona Joyce, "Huyu leo kwani vipi? mbona hajafika shule? kulikoni, au barua yangu imenaswa na dingi ake nini?! Basi bhana itakavokuwa na iwe Kama mbwai na iwe mbwai Kama Ni jera mi ntaenda Ila Joyce simuachi ".
Ilipofika jioni Joyce alikuwa tayari ameshapata jibu "Kwanini nimkatalie nikimkubalia tu atakuwa ananisaidia hata maswali yanayonishinda, Ila naogopa Baba akijua ataniua. Sa hapa ntafanyeje Sasa Baah,.." Akafikria Kisha akapata jibu "Ahaa kwanza ntafanya Siri Sana halafu nyumbani ntakuwa naaga naenda kujisomea kwa Salay.
Arufajiri palivokucha Joyce akwasalimu wazazi na akawambia Hali yake haikuwa mbaya Sana hivo anaweza tu akaenda shule. Shuleni alikuta Wadhati tayari ameshafika akamwangalia tu hku akitabasamu. Wadhati nae akamtazama kwa kuibia hku akijifanya anasoma. Kwakua Joyce hakuwa na aibu akamfata hadi alipokuwa amekaa akamshikisha kikaratasi Kisha akaenda zake kufanya usafi.
"Usijari nimekubari ombi lako Wadhati, hata Mimi nilikua nakpenda Ila nilikua naogopa nianzeje kukwambia. I LOVE U SOMUCH KIDUME WA DARASA a.k.a Wadhati wa Moyo..! Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaa...!
"Daah,. Oh sheet..!! Wadhati akapiga dawati "PAAAAAAAAAA....!" akanyanyuka huku akichekelea na kujiona mwanaume mwenye bahati "Mambo si ndo haya Sasa naachaje kunenepa kwa mfano". Ilipofika mda wa break, Wadhati akaenda alipokaa Joyce. Joyce akamtazama tu huku akiachia tabasamu murua Ka mwanazuoni aliekunywa mirinda nyeusi. Wadhati nae alionekana Ni mwenye furaha Sana hiyo siku kupita kiasi. Basi wakazungumza yao Kisha wakakubaliana wabaki ule mda wa kwenda nyumbani.
"Oy Wadhati vp mbona leo mwana unaonekana unafuraha Sana vp mwanangu tushirikishane sili ya urembo au umeokota alimasi mchangani Nini..! Walikuwa rafki zake Wadhati huku wakicheka Sana wote kwa pamoja,. Wadhati hukuweza kuwaficha washikaji zake akwaeleza Siri ya furaha yake, "Dah, mwana umenasa Fame Kali kinyama" yalikuwa Ni maneno ya Jamari akimsifia Wadhati. Malinzi nae akadakia.. "Ila tu kuwa makini mwana hizi mechi za ugenini kutoka droo sio kitu Cha ajabu, Lai yangu moja tu Kwako usizame mwili mzima Kwenye mapenzi, Ingiza mguu mmoja tu mwingne uache nje maana lolote laweza kutokea. Wote wakacheka "Unamaana gani Malinzi Mana we nae kwa vimisemo vyako haujambo. "Maana yangu Ni kwamba mpe asilimia hamsini tu zingine Baki nazo usimpe moyo wako, Mapenzi Ni chuo wote wanaoingia huko huwa hawamalizi kozi kuwa makini usije Jutia badae". Hah wapi kwa Joyce Ni tofauti, yule mtoto Sasa hivi nimemuweka hapa kifuani Yani anaelea Kama rocketi angani. Sikia hata nilivo mwandikia barua Wala hakukataa tena aliniitikia na yeye alikuwa ananipenda Tena zaidi yangu Mimi". Wakati wakibishana Jamari alikuwa kimya akiwasikiliza nae akadakia huku akicheka "Tafuna mifupa ungali meno bado Iko, Ila tu uwe makini jamani tumetoka mbali sana hatujafikia hata robo ya ndoto zetu.
Break ilipoisha wakarudi Darasani kuendelea na vipindi. Wadhati alikuwa akimtazama Joyce kwa shuku mda wote, "asee huyu mtoto Ni nimkali balaa chotara sio chotara sijui mwarabu Koko, au hapana huenda alizaliwa ukoo wa malaika mbona kwa mwendo huu atanimaliza uroto, dadeki kwanza pindi lenyewe halipandi kabisa yani leo ntau".
Muda wa kwenda nyumbani ulipo wadia Jamari na malinzi wakamshitua rafiki yao, "Ahahaaaa Oyaaah Nini wewe, tuondoke bhana" Maana washazoea kuondoka pamoja " Kuna kazi hapa nataka niimalizie kwanza nyie tangulieni ntawakuta. Okay bro! Walipotazama mbele wakamuona Joyce nae akionekana bize Aki act kujisomea. Mh! Oya Kaka usalama wa hapa ziro leo litakufa jitu tuondoke. Jioni Kama kawa tumit disikasheni.
Darasani walibaki wawili tu wadhati na Joyce. "Mamaa it's tym now come on! Njoo kwa baka bencha huku" Joyce akajifanya Kama hasikii akaendelea na ubize wake. Wadhati uwoga ulimuisha akanyanyuka taratibu hadi mahali alipo kaa Joyce Kisha akamshika mkono na kumnyanyua taratiibu Kisha wakaenda wote bakabencha kwenye Kona. Joyce bila wasiwasi akafungua vifungo vyake vya shati ili amuoneshe zaidi uzuri wake, " Woooooow Mashallaah your so beautiful kwani umezaliwa nchi gani wewe? Wadhati akiwa kifua wazi alimvagaa Joyce kwa denda zito la nguva huku mikono ikipapasa kiuno chake laiini mashallah ndani ya huba zito likisindikizwa na stimu ya michomochomo ya chuchu za Joyce kifuani kwa Wadhati zilizo simama ka pistoni za trekta la kijerumani. Wakiwa Kati Kati ya dimbwi zito la mahaba ghafla walishitushwa na kelele za form one waliokuwa wakirudi kufanya usafi shuleni, Joyce akampushi Wadhati aliyekuwa kanogewa Kisha akafungua vifungo vya shati lake haraka haraka.
"Vipi mamaa" Hapana twende nyumbani tutakutilizwa humu, Wadhati hakutaka kukubali kabisa kuahirisha mechi, Joyce akaondoka na kumuacha darasani.