Chereads / MALAIKA WA UPENDO / Chapter 9 - SEHEMU YA TISA

Chapter 9 - SEHEMU YA TISA

Baada ya mitihani ya mwisho wote wakapiga picha za ukumbusho kisha kila mmoja akarejea nyumbani kwao. Wadhati akapita kwa mpenzi wake Lucier wakaagana vizuri. "Usisahau ahadi yetu tulioiweka Mimi na wewe hata Kama nitakuwa mbali nawe penzi langu nitunzie one day yes ntakuja nikuchukue tuishi pamoja. Kisha Wadhati akapanda zake basi kurejea nyumbani kwao. Kiukweli aliyafurahia Sana mahusiano yao na alitamani Mungu awajarie .wake kuishi wote siku moja.

Wadhati hakukaa Sana nyumbani alichaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT Kama ilivo sheria ya Thamalia mwanafunzi anapo maliza kidato Cha sita lazima ahudhurie mafunzo ulinzi na ujasiriamali. Hivyo baada ya Wadhati kwenda jeshi hapakuwa tena na mawasiliano kati yake na mpenzi wake. Lucier akakaa sana akisubiri huenda ipo siku ataiona japo SMS ya usiku mwema kutoka kwa mpenzi wake mwezi wa kwanza ukapita kimya mwezi wa pili kimya mwezi wa tatu usitaarabu ukamshinda "Mh hata Kama ndo nishaachwa hata Kama ningekuwa na moyo wa chuma siwezi nao ungepata kutu let me live alone nshajijua Sina bahati kwenye mahusiano sijui ninagundu maana kila ninae ingia nae kwenye mahusiano ananiacha solemba dah!. nimechoka Sasa Kama ni maumivu ya mapenzi nimevumilia vya kutosha. Lucier aliamua kutulia kabisha akaendelea na Mambo yake tayari hata mtihani wa kumaliza kidato cha nne amefeli licha ya kirudia malambili bado amefeli tena. Kulikuwa na duka moja la urembo na saloon Lucier alipendelea Sana kwenda kusuka mle mala kwa mala kulikuwa na mkaka mmoja fundi Sana wa kusuka. Hivyo Lucier alipendelea sana kwenda kusuka pale kulingana na ufundi wa yule Kaka ulimfanya Lucier kuonekana maridadi binti mrembo na mwenye kuvutia Sana. Hivyo kuyokana na Lucier kuzoea kwenda pale mala kwa mala mwisho yule Kaka alitokea kuvutiwa sana akawaza sana namna ya kueleza hisia zake kwa binti mrembo Lucier kidogo ikawa inamuwia changamoto kila akimuona anaishia tu kutabasamu na kugumia huku moyo ukiropoka mwambie mwambie acha urofa wewe mwanaume gani unakuwa muoga kiasi hicho "Ehee yes nimepata wazo ntakuwa namsuka bure hadi aingie king" Oh Lucier karibu sana we ni mteja wangu wa nguvu umenichagia mala nyingi Sana ok kuanzia leo hii ntakuwa nakusuka bure Kama ofa. "Ahahaaaaaaa ya kweli hayo Kaka?!. maana dah mbona utakuwa umenisaidia sana na ninavyopenda kung'ara mtoto wa kike eheheeee Watanikomah" Lucier alijibu kwa furaha huku akijishebedua na kurembua na vidole vitatu juu Kama yupo kwenye uringo wa taarabu. Hivyo akawa wa kubadilisha mitindo ya nywele kila siku. Siku moja yule Kaka akamuomba Lucier aende kumtembelea nyumbani kwake, Hivyo kwa kuwa Lucier alikuwa kaisha nogewa na mitindo ya nywele hivyo hakuwaza chochote kuhusu upande wa shilingi chapu akatinga ghetoni kwa mkaka wa saloon. Ghafla alikutana na bonge moja la suprize. Gheto safi TV flat screen ipo ukutani sofa nzuri za rangi ya maroon freezer kabati kubwa safi kwa mbele linakioo Cha kujitizama kwa pembeni kitanda kikubwa nafikiri sita kwa sita halafu kirefu kimepanda juu kile chumba kilimfanya Lucier apagawe na kujikuta karopoka.. Kaka hivi umeoa... Ahahahaaa karibu mwaya pita tu usiogope ooh Noo nipo single, bado Allah hajanijaalia kuwa na mke. Lucier aliingia huku akiwa ameshikanisha mikono yake kwa mbele Kama mtu anaetoka kupata kipaimara Basi yule Kaka alimshika mkono taratiibu na kumkaribisha mezani. Meza ilikuwa imechafuka vibaya mno kwa vyakula Yani lilikuwa Ni bonge la suprize harafu yote tisa tu kumi kulikuwa na vinywaji Aina zote soda beer na Wayne. Basi yule Kaka akafungulia mziki wa taratiibu akaweka flash ilikuwa ikipiga kibao kimoja Cha mwanamziki maarufu CELINE DIONE my heart will go on. Kisha akamukalibisha chakula wakati huo Lucier akiwa anatabasamu tu huku akijisemea moyoni mmh.. na vile ninavyopenda nyama mmh Leo ntazikula hadi zinikome.. basi yule Kaka akaendelea Ooh da, Lucier usijari jisikie upo nyumbani no one can interfere hapa Ni mimi na wewe na hivi vyote nimeandaa kwa ajiri yako so feel free kabisa . Basi wakaendelea na chakula huku wakipiga stori Kaka wa saloon alichukua kinywaji na kumimina kwenye girasi mbili.. Lucier akaropoka Asante me huwa situmii wyne naogopa wanasema huwa inalewesha. Ahahahaaaa hayo ni maneno ya watu tu hii ni nzuri sana tena Sana kwa afya kwanza inaongeza damu harafu imetengenezwa kwa zabibu hivyo itakufanya uchangamke me huwa natumia kabula ya kwenda kazini ndo maana huwa sichoki. Ahahahaaaa kweli eeh?. Yeah kunywa tena inanoga sana na hizo nyama. Lucier bila kujari akaichukua gras yote na kuigida.. Ooh mashallah kumbe tamu hivi.... Yes hiyo ni yako so kunywa Hadi utosheke. Lucier akaongeza gras ya pili akaigigida yote baada ya kutua gras akaanza kurembua macho Kama mtu anaetaka kukata roho mala ghafla paah.. umeme ukakata. Yes.. this is my dream day.