habari,hii ni riwaya yangu ya kwanza hivo naomba tuvumiliane kwa mengi nitakubali kukosolewa ,vile vile hii ni Hadithi ya kubuni ukikutana na nguruwe anapaa usishangae tukaanza kuulizana tangu lini nguruwe akapaa,na hadithi ipo katika utamaduni wa kiafrika. asanteni