penzi la bahati
nzagamba kijana mtanashati na mwenye kuvutia hodari sana wa matumizi ya silaha za kuwinda katika himaya nzima ya mpuli ambayo chakula chao kikubwa kinatokana na uwindaji, nzagamba anajikuta katika wakati mgumu baada ya kugundua kuwa hawezi kuwa muwindaji tena kutokana na wanyama kutokupenda harufu yake.
tulya Binti mrembo anayetafuta penzi la kwake mwenyewe na sio la kuchangia licha ya jamii kuami kuwa mwanaume hawezi kuishi na mwanamke mmoja, yeye bado anaamini kuwa atapata mwanaume wa peke yake
je?nini kitatokea wawili hawa wakikutana?