Chereads / Mamba / Chapter 1 - 50

Mamba

Elias_Mussa_Mlezi
  • --
    chs / week
  • --
    NOT RATINGS
  • 1.2k
    Views
Synopsis

Chapter 1 - 50

Siku moja ilikuwa saa 12 kwenda saa moja ikatokea taaruki baada ya kiwepo watu wanne ambao walikuw wanatoka shamba .. huw kuna njia ya kuvuka au kamto ka kuvuka ambapo huwa kuna mamba .. humoo mtot mmoja wa kiume aitwae elias alianza kupita kweny maji hayoo akiwa mbele gafla akasita akasimama katikat ya maji huku akiogopa sana,, baada ya hapo akajipa moyoo akamua kuvuka na hakuona kuogopa na akapanda lakin akakamatwa na mamba katika mguu wake wa kushoto na akazamishwa kisha akatoka kabaki juu ya maji baaada ya hapo mamba alimsukuma na akamuachia na elias akabaki na majeraha ambapo akashindwa hadi kutembea na kushindwa kufanya chchte kutokan na maumiv aliokuw akiyapata wakati huo.... Tutaendeleaaaaa