Chereads / Mapenzi kizungumkuti / Chapter 1 - Mapenzi kizungumkuti

Mapenzi kizungumkuti

Daniel_Mwanzo
  • --
    chs / week
  • --
    NOT RATINGS
  • 1.7k
    Views
Synopsis

Chapter 1 - Mapenzi kizungumkuti

Nilitazama kamba iliyoninginia darini kana kwamba inanikumbusha jinsi ulimwengu ulivyo haini. Niliazimia kujiua niwaache waliobobea katika uwanja huu wa mapenzi. Ni mapenzi au tamaa ya pesa? Nilijisemea kimoyomoyo.