Nzagamba anambusu Tulya akiziweka hisia zake zote ambazo hawezi kuzisema kwa maneno katika busu hilo.Wanaendelea kubusiana mapigo ya moyo wa Kila Mmoja yakiongeza mbio.Miili Yao ikipanda joto na mahitaji ya kuwa karibu zaidi yakiongezeka. Tulya anaweka mikono yake kwenye mabega ya Nzagamba anafumba macho yake akifurahia hisia zinazopita mwilini mwake zikisambaa mpaka kwenye ubongo zikiupumbaza na kuyeyusha hasira zote alizokuwa nazo.Kama hii ndio njia atakayokuwa anatumia Nzagamba kumnyamazisha akiwa na hasira basi amebuni njia iliyo njema maana inafanya kazi.Anawaza Tulya.
Baada ya kuona pumzi zao zinakata wote wanavunja busu wakihema kwa nguvu vifua vyao vikipanda na kushuka.Mikono ya Nzagamba inaenda shingoni kwa Tulya huku akikutanisha tosi zao macho Yao wote yakiwa yamefumba na wanachokisikia ni hisia zao zinazotoka katika mahitaji ya miili Yao. " nisamehe,sikumaanisha hivyo" Nzagamba anavunja ukimya macho yakiwa bado yamefumba.Moyoni akijilaumu kwa kuongea maneno kama yale kwa mwanamke aliyeacha Kila kitu kwa ajili yake.Lakini hata kama mda ungerudi nyuma bado angefanya hivyo kwani mpaka Sasa bado haelewi alipatwa na kitu gani?
Kitendo Cha kuwaona wanaume wote wale wakimwangali mke wake kiliwasha moto kifuani kwake alioshindwa kuumiliki na kujikuta amelipuka.Anafumbua macho yake taratibu anatoa tosi zao lakini hasogei mbali na kumwangalia Tulya ambaye bado amefumba macho yake akisikilizia matokeo ya busu.Anamwangalia uso wake,macho, pua mdomo,Macho yake yanarudi kwenye macho yake zile kope ndefu,yanaenda kwenye pua tena, Kisha mdomo uliokuwa upo wazi kidogo ukivuta pumzi.
" wewe ni mrembo sana" anaongea kwa sauti ya chini pumzi zake zikitua kwenye mdomo wa Tulya kutokana na nyuso zao kuwa karibu.Tulya anashtuka na kufumbua macho yake na Moja kwa Moja yanakutana na ya Nzagamba yakimwangalia kama yanataka kummeza mzima mzima.Midomo yake inakauka lakini bado anajikuta akimeza funda la upepo.Amemuita mrembo! hii ni mara ya kwanza anamsifia.Mwili wake unasisimka baada ya Nzagamba kuchezesha dole gumba yake katika shingo yake akimpapasa.
" ni mrembo kiasi kwamba najiuliza imekuwaje mpaka nimepata mwanamke kama wewe mrembo ndani na nje" anaongezea sauti yake ikiwa bado ya chini na macho yake yasiondoke machoni kwa Tulya.Mapigo ya moyo wa Tulya yanaanza marathoni nyingine tena ambayo hayajui yatakimbia kwa umbali gani.Anainamisha macho yake chini akiona aibu lakini Nzagamba anashika kidevu chake kumzuia.
" niangalie Mimi kwa sababu napenda sana macho yako makubwa yanaponitazama yananifanya nijione wathamani"
Tulya anavuta pumzi ndefu na kuyajaza mapafu yake kwani yalianza kudai upungufu wa hewa baada ya Tulya kubania.
" wewe ni wa thamani sana kwangu naomba niamini,wewe ni kama mbalamwezi katika kiza kinene Cha usiku ndivyo ulivyoangaza maisha yangu na kuyapatia Nuru" Tulya alitaka kuongea lakini anaona ni bora kukaa kimya kwani sio Kila siku kwa Nzagamba kujieleza kwa maneno mengi na hataki kumkatiza.
" kwa hiyo usijifikirie namna hiyo kabisa,kule kwenye sherehe sijui nilipatwa na nini kuona wanaume wengi wakikuangalia vile Kuna moto uliwaka kifuani kwani na nikajikuta na...." anatulia kidogo.
" nisamehe sikutaka kukuumiza ni kwamba unanifanya nichanganyikiwe,mda wote akili yangu inakuwaza wewe,na ninapokufikiria moyo wangu unaenda mbio,nikikuangalia mwili wangu unavutwa kwako mahitaji yanakuwa makubwa" Tulya anahisi joto la mwili wake likipanda juu
"Nzagamba mi.." anaongea sauti yake ikitoka ndogo na ya mkwaruzo lakini Nzagamba anamsikia vizuri kutokana na ukaribu wao " shhhh!" anamnyamazisha akiunganisha tena tosi zao na kufumba macho yake " unanichanya Tulya na sio kidogo na nikiendelea hivi nahisi nitawehuka"
" sitaki uwe kichaa" anaongea Tulya na kumfanya Nzagamba acheke kidogo akiendelea kuchezesha utosi wake kwenye utosi wa Tulya na mikono yake ikiendelea kupapasa shingo ya Tulya ikihisi ulaini wake
"nisipofanya hivi Nina uhakika utakuwa na mume kichaa" anaongea akisogeza uso wake mbali kidogo na macho Yao yanakutana na mapigo ya moyo wa Tulya yanazima kwa sekunde kabla ya kuendelea,anaendelea kutazama macho ya Nzagamba yaliyojaa njaa ya matamanio na shauku juuu yake.
" nakuhitaji Tulya,ninaweza kuwa na wewe usiku wa Leo?" anamuuliza.Maada ya kusubiri mwaliko wa chumbani usiokuja imemchosha na hawezi kuvumilia tena mwili wake umefikia mwisho. Tulya anatamani aruke juu angani angekuwa na mabawa.Hatimae! hatimae ndoa yake inaenda kupiga hatua,hatimae Nzagamba amemuona! Asitake kupoteza nafasi hii.Mikono yake iliyokuwa mabegani inaenda na kushika mashavu yake akipapasa ndevu zake na mikono yake laini kitendo kinachomfanya Nzagamba damu yake kusisimka na kuchangamka yote inakimbia na kwenda kukusanyika katikati ya miguu yake.Hivyo ndivyo mwanamke Tulya alivyo na madhara kwake.
" Mimi ni mkeo Nzagamba,nipo hapa kwa ajili yako,nitakuwa na wewe usiku wa Leo" anaongea Tulya akisogea na kumpiga busu la kudonyoa na kumwangalia machoni.Hiyo ndio ruhusa aliyokuwa anaisubiri Nzagamba " sitarudi nyuma usiku wa Leo" anamwambia
" sitaki urudi nyuma" Tulya nae anamjibu moyoni akiwaza hakuja kulima matuta kwenye ndoa kwani hii ndio ndoa yenyewe.
Nzagamba anambusu kwa nguvu zake zote,Tulya nae anarudisha mikono yake ikienda kushika misuli ya kifua kilichojazia ikipapasa, kitendo kinachovuna mguno kutoka kwa Nzagamba kwani anapenda mikono hiyo ikitambaa mwilini mwake.Taratibu anasimama alipokuwa amechuchumaa anainama kidogo na kuegemeza uzito wake kwa Tulya kitendo kinachomfanya arudi nyuma na kulala kitandani na Nzagamba kuwa juu yake.Nzagamba anavunja busu na midomo yake kwenda shingoni mwa Tulya ikiendelea kumbusu na kuleta msisimko.
Nzagamba anatumia miguu yake kupanua miguu ya Tulya naye anatii na kumwachia Nzagamba kukaa katikati ya miguu yake.
maungo yaliyo katikati ya miguu Yao yanakutana yakitenganishwa na safu nyembamba ya mavazi Yao tu kitendo kinacho chochea moto kati Yao.Tulya anazungusha miguu yake kiunoni kwa Nzagamba akijisogeza karibu zaidi Ili aweze kujikuna kuridhisha hisia zinazoongezeka chini ya tumbo lake.Lakini masikio yao yanakutana na sauti nyingingine inayotoka miguuni kwake "njiri!" wote wanatulia kwa muda na Tulya anahisi mikono ya Nzagamba kwenye kifundo Cha miguu yake na kuanza kuvuta njuga alizokuwa amevaa Tulya.
Uso wake ukirudi kwenye shingo yake na kuendelea kumbusu,baada ya kutoa njuga ya mguu wa kulia mkono wake unaenda kwenye mguu wa kushoto na kuanza kuvuta njuga Ili aitoe na kuishia kusikia makelele zaidi." pumbavu,sizipendi hizi" anaongea Nzagamba anatoa na kuitupa mbali kwa hasira.
Nzagamba bado anakumbuka mara ya kwanza njuga hizi zilivyo mkatia starehe sebuleni alipomgusa Tulya kwa mara ya kwanza na Leo hii zinataka kuwa sehemu ya maisha Yao tena.Lakini Nzagamba hataki kabisa kuingiliwa huu ni usiku wake au wao.Mkono wake unatoka katika kifundo Cha mguu wa Tulya ukisogea mpaka pajani kwake ukienda taratibu na kuja kutua kwenye kiuno chembamba kilichojaa shanga na baada ya kuzigusa hamu ya kuendelea kucheza na kiuno inaongezeka na kumfanya kuanchia mguno wa raha asioweza kuielezea kwani shanga zimemsisimua zaidi.
Mkono wake wa kulia unashika mkono wa Tulya na kuunganisha vidole vyao na mwingine unatoka kiunoni na kwenda kifuani ukitoa kitambaa kidogo kilichokuwa kinafunika saa sita mbili zilizopo maeneo hayo na ndani ya sekunde Tulya anapigwa na upepo unaoashiria maungo yake yalikuwa wazi.Mkono wake unakimbia na kwenda kufunika maziwa yake, Nzagamba anamwangalia na macho Yao yanakutana taratibu Tulya anatao mkono wake anamwona Nzagamba akirudi nyuma kama anaka na kuyaangalia maziwa yake huku akilamba midomo yake kama mlevi kaona kibuyu Cha pombe kwa bahati nasibu.
" nayapenda sana haya" anaongea akiendelea kuyaangalia kama Simba mwenye njaa Kali anapomwona swala.Chuchu za maziwa ya Tulya zinakuwa ngumu kutokana na macho ya Nzagamba pamoja na ubaridi kitendo kinachomchanganya zaidi Nzagamba na anajikuta akiinama na kuigubia Moja mdomoni mwake." Nz.. Nzagamba" Tulya anaita na kutupa kichwa chake nyuma kifua chake akikinyanyua juu zaidi kumsogezea mlo anaoupenda mumewe.